Wasiliana nasi
Una swali, wazo au unataka kuzungumza? Pata kontakti zetu hapa chini.
Maswali ya Vyombo vya Habari
Wasiliana nasi kujua maelezo zaidi juu ya Badoo. Au tembelea ukurasa wetu wa habari.
Maswali ya kazi
Tembelea ukurasa wetu wa kazi kujua zaidi kuhusu nafasi wazi za sasa.
Masuala ya Utekelezaji wa Sheria
Omba habari rasmi ikiwa wewe ni wakala wa utekelezaji wa sheria au mamlaka ya ndani.
Maswali ya kawaida ya Biashara
Kama una wazo la kibiashara au pendekezo ambalo ungependa kushirikisha, tafadhali tuambie.
Udhaifu wa Usalama
Ukiwa unakabili changamoto yoyote ya hatari za kiusalama unapotumia Badoo, tafadhali tujulishe.
Funga
Maswali ya vyombo vya habari
Ikiwa wewe na chapisho lako mngependa kupokea taarifa zetu za hivi punde kwa wanahabari au una maswali yoyote ambayo ungependa kujibiwa kuhusu Badoo na ulimwengu unaosonga kwa kasi wa mitandao ya kijamii, tafadhali jaza fomu fupi iliyo hapa chini nasi tutawasiliana nawe bila kukawia.
Fomu hii ni kwa wanahabari tu. Kama unataka kuwasiliana nasi kuhusu kitu kingine, tafadhali tumia Fomu ya Msaada kwa Wateja kuwasiliana nasi. Maswali kutoka kwa watumiaji wa tovuti hayatajibiwa.
Funga
Maswali ya kawaida ya Biashara
Kama una maswali au ungependa kujifunza zaidi kuhusu dhana yoyote ya kampuni yetu, tafadhali jaza fomu fupi hapa chini na sisi tutakujibu haraka iwezekanavyo.
Funga
Masuala ya utekelezaji wa sheria
Tunachukulia faragha yako kama jambo la muhimu sana - soma Sera za Faragha kwa maelezo zaidi. Lakini pia tunahitaji kuweka tovuti hii salama kwa watumiaji wetu wote. Hii inamaanisha kwamba tunasaidia mashirika yanayohusika na utekelezaji wa sheria na pia mamalaka ya ndani ya nchi pale tunapoombwa, lakini hii huwa kufuatana na makubaliano ya kulinda data kisheria.
Taarifa katika sehemu hii ni kwa ajili ya kusaidia vyombo vya utekelezaji wa sheria na mamlaka za ndani ya nchi kufanya maombi ya taarifa rasmi. Kama unataka kuwasiliana nasi lakini hauhusiki na mashirika yoyote kati ya hayo, tafadhali tumia Fomu ya Msaada kwa Wateja kuwasiliana nasi. Huduma hii ni kwa vyombo vya utekelezaji wa sheria tu, na maombi kutoka kwa watumiaji wa tovuti hayatajibiwa.
Jinsi ya kuomba taarifa?
Ili tuweze kushughulikia ombi lako, tafadhali jaza fomu hapa chini na ambatanisha nyaraka rasmi yenye saini iliyo na muhuri husika au ombi la RIPA, liwe la maelezo yafuatayo:
- Kitambulisho cha mteja (yaani. http://badoo.com/0123456789) au anwani ya barua pepe iliyotumika kujisajili
- Sababu ya ombi lako, na taarifa gani inahitajika
- Anwani ya barua pepe kutoka kwenye miliki ya sheria, na namba ya simu
- Jina la mtu wa kuwasiliana naye, kama itawezekana
Tafadhali tambua kwamba inaweza kuchukua hadi siku 30 kushughulikia ombi lako, lakini tunategemea kujibu maswali ndani ya wiki moja. Kama data zozote zitakazotajwa hazitakuwepo, basi ombi lako halitashughulikiwa.
Ama sivyo, unaweza kutuma ombi lako rasmi kwa kutumia fax kwa +44 (0) 207 099 9940. Tutakujibu haraka iwezekanavyo, na tunaweza kukuomba maelezo ya ziada kama itahitajika.