Wakati mwingine tatizo laweza tatuliwa kwa kubofya tu! Tafadhali jaribu kufuata utaratibu wa kutatua matatizo kabla ya kututumia ujumbe.
1. Angalia kwamba unatumia aina mpya zaidi ya kisakuzi na kisasishe kama inahitajika
2. Toa cookies na cache kwenye kisakuzi chako
3. Toka nje halafu fungua upya kisakuzi chako
4. Toka nje halafu rudi tena kwenye akaunti yako
Kama hatua zote hayo juu hazisaidii, tafadhali jaribu:
1.Angalia ukurasa huo kwenye kisakuzi kingine ili kuona kama tatizo linatokana na kisakuzi fulani na tuarifu kama tatizo linatokea kwenye visakuzi vyote.
2. Toa plug-ins zote za muda, add-ons au extensions kwenye kisakuzi chako halafu toka na fungua kisakuzi upya baada ya hapo.
3. Weka https://badoo.com/ kwenye programu yako ya antivirus au listi ya tovuti salama kwenye kisakuzi ili kuhakikisha kwamba antivirus yako haina tatizo lolote kwenye mfumo wake wa kazi.
Kama huna uhakika wa jinsi ya kufanya yote hapo juu, tafadhali angalia maelezo maalum kwenye sehemu ya Msaada ya kisakuzi chako.
1. Tafadhali hakikisha kwamba unatumia aina mpya zaidi ya app. Kama huna, basi utahitaji kusasisha aina hii.
Kama unatumia aina mpya zaidi, basi tafadhali angalia intaneti yako. Kuangalia, tembelea www.Badoo.com kupitia app ya intanenti ya chombo chako.
Jaribu kuanzisha upya app ya Badoo. Ili kufanya hivi, funga app halafu washa upya. Hii haitakutoa nje bali itaanzisha ukurasa upya.
4. Jaribu kufuta app ya Badoo na iweke upya. Kuiweka upya baada ya kuifuta, tafadhali tembelea app store ya chombo chako.
5. Tafadhali jaribu kuanzisha upya chombo kama yote yatashindikana.
1. Tafadhali hakikisha kwamba unatumia aina mpya zaidi ya app. Kama huna, basi utahitaji kusasisha aina hii.
2. Jaribu kuanzisha upya app ya Badoo
3. Toka nje halafu rudi tena kwenye akaunti
4. Angalia kwamba umeunganishwa vizuri kwente inaneti kwa kutembelea tovuti kama vile Google.com
5. Jaribu kuwasha upya chombo chako
6. Kama bado unapata matatizo, tafadhali futa app ya Badoo halafu ipakie upya.
1. Restart your phone's web browser
2. Sign out and then back into your account
3. Check your connection is working by visiting a website, for example Google.com~~V
If you are still experiencing an issue, please clear your mobile browser's stored information:
1. To clear stored data on iOS, please go to settings > Safari and clear the data
k. To clear stored data on Android, please tap on apps > Internet > touch the ‘Menu' option > Settings > Privacy > Security and clear the data
Ununuzi wa salio haurudishwi. Lastly, please try restarting your device.
If you're still experiencing an issue, please ensure private browsing mode is disabled; instructions on how to do this on your device can be found on the manufacturer's website.